Nyota wa filamu iliyowahi kupata umaarufu duniani ikiwamo hapa Tanzania, filamu ya Tarzan, Ron Ely, amefariki akiwa na umri wa miaka 86.
Nyota huyo wa filamu, anafahamika zaidi kwa kuigiza filamu za misituni, miaka ya 60 na 70 . Binti wa Ron, Kirsten Ron amethibitisha kifo cha baba yake, kilichotokea Septemba 29.
Soma zaidi https://www.instagram.com/p/DBf6ZImNuM7
Ely, amecheza filamu kadhaa ikiwamo Tarzan, mwaka 1966 na Doc Savage, 1968, The Man of Bronze na Fantasy Ireland.