Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo imeendelea kuketi leo, Jumatatu Desemba 2, 2024 hapa jijini Dar es Salaam.
CHADEMA kiliitisha kikao hicho mara tu baada ya Ofisi ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,(TAMISEMI), kutangaza matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa juzi.